Image

Siku ya Usalama Mtandaoni 'Safer Internet Day'

Karibu kituo cha Usalama Mtandaoni Tanzania, kituo maalumu cha maadhimisho ya siku ya usalama mtandaoni,  yenye lengo la kueneza uelewa juu ya matumizi bora na salama ya mtandao kwa watoto na  vijana na jamii kwa ujumla ili kuufanya mtandao uwe bora na wamanufaa zaidi.

Siku ya Usalama mtandaoni husherekewa duniani kote kila mwezi februari kila mwaka ambapo wadau mbalimbali kutoka nchi zaidi ya 150 hujitokeza kuandaa matukio ya kusherekea siku hiyo.

Baada ya kuazimisha siku ya usalama mtandaoni 2020, ungana nasi kuazimisha siku hiyo mwaka 2021 tarehe 9 jumanne ya mwezi wa pili.

 

Unaweza kuona matukio yaiuopita ya sherehe za maadhimisho ya siku ya usalama mtandaoni