Mafunzo

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Integer adipiscing erat eget risus sollicitudin pellentesque et non erat. Maecenas nibh dolor, malesuada et bibendum a, sagittis accumsan ipsum. Pellentesque ultrices ultrices sapien, nec tincidunt nunc posuere ut. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nam scelerisque tristique dolor vitae tincidunt. Aenean quis massa uada mi elementum elementum. Nec sapien convallis vulputate rhoncus vel dui.
Image

Kujenga uwezo na uelewa

Kuwajengea uwezo na uelewa watoto kuhusu maswala yanayohusu usalama wanapokuwepo mtandaoni au kutumia vifaa vya TEHAMA.

Kupitia maadhimisho ya siku ya mtandaoni  tumekuwa kujiwajenge uwelewa wanafunzi hasa wa shule ya msingi na sekondari kuhusu mawswala ya usalama mtandaoni, tumekuwa tukiwatembelea mashuleni na kuwapa elimu nakuwatakuwa chaku kwa wenzao

Pia tumeendaa mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo watoto na vijana kuwa viongozi kwenye swala zima la kuendeza uwelewa juu ya maswala ya usalama mtandaon I kwa watoto wenzao. Mafunzo yatalenga peer education