Administrator
Hits: 4

Wasiliana Nasi

Unaweza kuwasiliana nasi kwa njia ya barua pepe zifuatazo.

 This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au iThis email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

 

Administrator
Hits: 18

Nini Tunafanya

Kituo hiki cha usalama mtandaoni kina kazi kuu tatu

  1. Kuratibu shughuri za siku ya usalama mtandaoni ikiwemo kutoa elimu juu ya matumizi bora na salama mtandao kwa watoto na vijana , wazazi na walezi na jamii nzima
  2. Kutoa msaada wakitaalamu mtandaoni ‘Professionals Online Safety Helpline’ kusaidia walezi wa watoto na vijana kwenye maswala ya usalama mtandaoni- (Huduma hii bado haijaanza).
  3. Kupunguza maudhui yaliyokinyume na sheria (Mfano picha za utupu za watoto mtandaoni kwa kuwezesha kuripoti na kuziondoa (Huduma hii bado haijaanza)
Administrator
Hits: 26

Kuhusu Sisi

Karibu kwenye tovuti rasmi ya siku ya usalama mtandaoni Tanzania, ambayo inaendeshwa na kusimaliwa na shirika lisiloliwa la kiserikali la Computing and Information Association.

Siku ya usalama mtandaoni inaratibiwa duniani na muungano wa Insafe/INHOPE Network kwa msaada wa Tume ya Ulaya ‘European Commission’.

Mwaka 2016, shirika la Computing and Information Association kwa msaada na hisani ya Malaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) lilipitishwa na waratibu Insafe/INHOPE Network kuunda kamati ya siku ya usalama mtandaoni Tanzania ambayo itaratibu shughuri za usheherekeaji wa siku ya usalama mtandaoni nchini Tanzania.

Kamati ya siku ya siku ya mtandao Tanzania kwa sasa inaundwa na Computing and Information Association pamoja na Malaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kwa msaada Muandikie Mtaalamu

LiveChat Help