Kuhusu Sisi

Karibu kwenye tovuti rasmi ya siku ya usalama mtandaoni Tanzania, ambayo inaendeshwa na kusimaliwa na shirika lisiloliwa la kiserikali la Computing and Information Association.

Siku ya usalama mtandaoni inaratibiwa duniani na muungano wa Insafe/INHOPE Network kwa msaada wa Tume ya Ulaya ‘European Commission’.

Mwaka 2016, shirika la Computing and Information Association kwa msaada na hisani ya Malaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) lilipitishwa na waratibu Insafe/INHOPE Network kuunda kamati ya siku ya usalama mtandaoni Tanzania ambayo itaratibu shughuri za usheherekeaji wa siku ya usalama mtandaoni nchini Tanzania.

Kamati ya siku ya siku ya mtandao Tanzania kwa sasa inaundwa na Computing and Information Association pamoja na Malaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kwa msaada Muandikie Mtaalamu

LiveChat Help