Karibu Kituo cha Usalama Mtandaoni

Karibu kituo cha Usalama Mtandaoni Tanzania, kituo maalumu cha maadhimisho ya siku ya usalama mtandaoni,  yenye lengo la kueneza uelewa juu ya matumizi bora na salama ya mtandao kwa watoto na  vijana na jamii kwa ujumla ili kuufanya mtandao uwe wamanufaa zaidi.

Siku ya Usalama mtandaoni husherekewa duniani kote kila mwezi februari kila mwaka ambapo wadau mbalimbali kutoka nchi zaidi ya 160 hujitokeza kuandaa matukio ya kusherekea siku hiyo.

Siku ya usalama mtandaoni 2020 itasherekewa siku ya jumanne tarehe 11 mwezi februari chini ya kauli mbiu ya “pamoja kwa internet bora”

#SID2019 #SUM2020 SaferInternetday2020

Kwa msaada Muandikie Mtaalamu

LiveChat Help