Maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni  2016

Maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni 2016

Rasmi kwa mara ya kwanza baada ya kutambulika rasmi kama kamati ya siku ya usalama mtandaoni  Tanzania yani Tanzania safer internet committee chini ya INSAFE/INHOPE , Kamati  iliadhimisha siku ya hiyo tarehe ambapo vijana  50 wa shule ya sekondari ya Tambaza iliyopo jinini Dar es salaam walishiriki na kujengewa uwelewa juu ya maswala mabalimabali kuhusu faida na changamoto za mtandaoni.

Wakiwa kwenye vikundi  vya wanafuzi 4-5 wanafunzi waliweza kuzianisha changamoto na namna ya kuzikabili ikiwa ni pamoja na mamna gani wataweza kuchangia katika kuhakikisha mtandao unakuwa bora na salama.

Kila kikundi kilichagua mtu mmoja wa kuwasilisha maoni ya kikundi kwa watu wote.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima.

Ripoti ya tukio zima [English]

Date

12 May 2016

Tags

2016