Maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni 2020

Maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni 2020

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania  ( TCRA) imeadhimisha siku ya usalama mtandaoni kwa kuwakutanisha wanafuzi wa shule za msingi na sekondari za Dar es salaam kuzungumzia kuhusu usalama mtandaoni. Mgeni rasmi alikuwa ni mkurugezi wa  TCRA –Eng. James M. Kilaba

Wanafunzi Zaidi ya 100 kwenye ukumbi wa maktaba ya chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kutoka kwenye shule za msingi  na sekondari  walijengewa uwelwa kuhusu matumizi bora na salama ya mtandao

Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima.

 

Date

11 February 2020

Tags

2020